Seko Shamte

Seko Shamte Instagram – Here’s another one for Wazawa Film Category, titled “JASIRI”

It is the last day of their campaign for the presidential elections and so far it is looking good for the presidential candidate, Rose Ambani. In the midst of it all, she gets a call. A call that could change everything for the worse and leave her life in shambles. A lot is at stake as Rose needs to find the courage to do what is right.

Ni siku ya mwisho wa kampeni zao za uchaguzi wa Urais na mpaka sasa mambo yanakwenda vizuri kwa mgombea wa Urais, Rose Ambani. Katikati ya yote haya, anapokea simu ambayo inaweza kubadilisha kila kitu kuwa kibaya na kuharibu uchaguzi na maisha yake kwa ujumla.

Ungana nasi kuangalia filamu hii fupi yenye kisa cha kusisimua katika tamasha la SAUTI ZETU FILM FESTIVAL tarehe 13 Oktoba 2023. | Posted on 12/Oct/2023 18:42:41

Seko Shamte

Check out the latest gallery of Seko Shamte