Simon Rieber

Simon Rieber Instagram – Hamna akili kama hamna changamoto, changamoto zinakuja ili akili yako iamke na kutumika. Mungu aliumba giza kabla ya nuru, na alipoumba nuru aliona nuru ni nzuri, changamoto lazima zije kuona kama akili yako iko nadhifu. 📸 @techeyestudios
.
#simonrieber
.
.
You are not smart if you don’t have challenges, challenges come so your mind wake up and used. God created darkness before light, and when he create light he saw light is good, challenges have to come to see if your mind is smarter. | Posted on 08/Apr/2023 14:34:21

Simon Rieber
Simon Rieber

Check out the latest gallery of Simon Rieber